VIONGOZI WA DINI MKOANI SINGIDA WAJA NA MAAZIMIO SABA UCHAGUZI MKUU
Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini na Madhehebu mbalimbali Mkoa wa Singida,(aliyesimama)Hamis Muhamed Kisuke akiongoza kikao ambapo walizungumzia hali ya amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu na kuja na maazimo saba. (Picha na Rose Nyangasa). Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akizungumza na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini na Madhehebu mbalimbali Mkoa wa Singida ambapo ameipongeza Kamati hiyo kwa kuamua kuhamasisha amani na utulivu kwenye kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu (Picha na Rose Nyangasa) Wajumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Singida wakimsikiliza kwa makini Kamanda wa Polisi wa MKoa wa Singida, Sweetbert Njewike (hayupo pichani) wakati akielezea majukumu ya jeshi hilo kwenye siku ya upigaji kura Oktoba 28, mwaka huu. (Picha na Rose Nyangasa). Kamanda wa Polisi wa MKoa wa Sin...