TAKWIMU ZAIPAISHA TANZANIA UCHUMI WA KATI -SERIKALI
A Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Anjelina Lutambi (aliyesimama) akitoa ufafanuzi kwenye mkutano wa uelimishajiwa zoezi la ukusanyaji wa takwimu za mifugo,kilimo na uvuvi katika Kijiji cha Msikii, Kata ya Muhamo, Mkoani Singida hivi karibuni(Pichana John Mapepele). A. Bibi Salma Mkumbo akiuliza swali kwa wataalamu kwenye mkutano wa uelimishaji wa zoezi la ukusanyaji wa takwimu za mifugo,kilimo na uvuvi katika Kijiji cha Msikii, Kata yaMuhamo, Mkoani Singida hivi karibuni (Pichana John Mapepele). A. Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa (aliyesimama) akitoa ufafanuzi kwenye mkutano wa uelimishaji wa zoezi la ukusanyaji wa takwimu za mifugo,kilimo na uvuvi katika Kijiji cha Msikii, Kata yaMuhamo, Mkoani Singida hivi karibuni(Pichana John Mapepele) . Meneja Takwimu Ofisi ya Taifa ya Takwimu Mkoa wa Singida, Naing’oya K...