Posts

Showing posts from April, 2021

KAMATI YA MAKATIBU WAKUU YAANDAA MKAKATI KABAMBE WA KUBORESHA MICHEZO MASHULENI

Image
  Kamati ya Makatibu Wakuu wa Wizara zenye dhamana yaElimu,Michezo na TAMISEMI  wakiwa kwenye kikao  kazi leo Aprili 27,2021 Jijini Dodoma kujadili utekelezaji wa maelekezo ya Mawaziri wenye dhamana hizo hizo kwa lengo la   kuandaa Mkakati wa Utekelezaji wa masuala mbalimbali ya uimarishaji wa somo la Elimu kwa Michezo na Michezo katika shule za Msingi na Sekondari hapa nchini chini ya uenyekiti wa Prof.Riziki Shemdoe ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya  TAMISEMI. Dkt. Hasssan Abbasi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia eneo la Elimu ndugu  Gerard Mweli (kulia) wakihudhuria kikao cha Kamati ya Makatibu Wakuu wa Wizara zenye dhamana ya Elimu, Michezo na TAMISEMI  wamefanya kikao kazi leoAprili 27,2021Jijini Dodoma kujadili utekelezaji wa maelekezo ya Mawaziri wenye dhamana hizo hizo kwa lengo la   kuandaa Mkakati wa Utekelezaji wa mas...

SERIKALI YAANZISHA KITUO CHA KIMATAIFA CHA KUENDELEZA VIPAJI VYA MICHEZO.

Image
    Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo nchini, Yusuph Singo Omari (kushoto), akiwa naa liyewahi kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF na Kocha wa Timu ya Taifa Stars, Ami Ninje (katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya Dkt. Richard Masika wakikagua eneo la chuo kwa ajili ya mradi wa upanuzi wa chuo hicho ili kujenga Kituo cha kuendeleza vipaji vya michezo. Timu ya wataalam mbalimbali wa michezo na ardhi ikipitia ramani ya maeneo ya ujenzi wa madarasa na hosteli. Timu ya wataalam ikiangalia eneo la ujenzi wa madarasa wa Kituo cha kuendeleza vipaji vya Michezo   Na John Mapepele, Dodoma   Serikali inatekeleza mradi wa  kupanua eneo la  Chuo cha  Maendeleo ya Michezo Malya ikiwa ni  mkakati  maalum wa kuanzisha Kituo cha Kuendeleza Vipaji vya Michezo  ili kuibua na kuendeleza vipaji vya wanamichezo hapa nchini.   Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo nchin...

MAWAZIRI WATEKELEZA AGIZO LA RAIS SAMIA SULUHU KIKAMILIFU

Image
  Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul (kushoto) akizungumza leo katika kikao cha Mawaziri wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari pamoja na Wizara hiyo cha kujadili hoja zinazohusu utekelezaji wa majukumu ya Sekta hizo ya kisera, kisheria na kikanuni kwenye masuala ya mawasiliano nchini kilichofanyika jijini Dodoma, anayefuata ni Waziri wake Innocent Bashungwa akifuatiwa na Waziri waMawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile na kuliani Naibu wake Mhandisi Kundo Mathew. Kikao hicho kimefanyika kufuatia maelekezo yaliyotolewa hivi karibuni na Mheshimiwa  SamiaSuluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  yakutaka kufanyika marekebisho ya Sheria na Kanuni zinazosimamia Vyombovya Habari  hapa nchini hususan Televishen Mtandao (Online TV)   Wajumbe wa kikao cha Mawaziri wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari pamoja naWizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakimsikiliza Katibu...

WAZIRI NDALICHAKO AWATAKA WATUMISHI WA WIZARA HIYO KUZINGATIA WELEDI NA KUACHA KUTUMIA LUGHA ZA KIBABE

Image
  WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako,akizungumza leo April 8,2021 jijini Dodoma wakati  akizindua mkutano wa 28 wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo.   Baadhi ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako (hayupo pichani)  wakati  akizindua mkutano wa 28 wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo uliofanyika leo April 8,2021 jijini Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo,akizungumza kwenye Mkutano wa 28 wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo uliofanyika leo April 8,2021 jijini Dodoma. Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe,akizungumza kwenye Mkutano wa 28 wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo uliofanyika leo April 8,2021 jijini Dodoma. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Carolyne Nombo,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa 28 wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo ul...

JAFO ATOA MIEZI SITA KWA UONGOZI WA MACHINJIO YA KISASA KIZOTA DODOMA KUREKEBISHA CHANGAMOTO ZAO

Image
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akisikiliza maelezo kuhusu utendaji wa machinjio ya kisasa katika eneo la Kizota jiji Dodoma alipofanya ziara ya kikazi kukagua utunzaji wa mazingira machinjioni hapo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akiwa katika ziara ya kukagua utuzanjaji mazingira alipofanya ziara ya kikazi katika kiwanda cha kurejeleza taka za plastiki cha Future Colorful Limited kikichopo Kizota jijini Dodoma. Kushoto ni Meneja wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira(NEMC) Kanda ya Kati Flanklin Rwezimula na mmiliki wa kiwanda hicho Wang Zuo Min. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akisikiliza maelezo kuhusu utendaji wa machinjio ya kisasa kutoka kwa Meneja wa machinjio hayo katika eneo la Kizota jiji Dodoma Chacha Mwita alipofanya ziara ya kikazi kukagua utunzaji wa mazingira machinjioni hapo. Waziri wa Nchi Ofisi ya...

KISWAHILI KUTUMIKA JUMUIYA YA NCHI WAZALISHAJI WA ALMASI AFRIKA ‘TANZANIA YAKABIDHIWA UENYEKITI

Image
  Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko (Mb) akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa 7 wa Mawaziri wa nchi za Afrika zinazozalisha madini ya Almasi uliofanyika kwa njia ya Mtandao (Video Conference) leo tarehe 8 Aprili 2021. …………………………………………………………………………………….. Na.Alex Sonna,Dodoma NCHI 19 za Umoja wa Uzalishaji wa Almasi Barani Afrika (ADPA) zimekubaliana kuongeza Kiswahili kuwa miongoni mwa lugha za mawasiliano katika jumuiya hiyo. Hayo yamebainishwa leo April 8,2021 na Waziri wa Madini, Dotto Biteko,wakati wa mkutano wa 7 wa Mawaziri wa nchi za Afrika zinazozalisha madini ya Almasi ambao umefanyika Jijini Dodoma kwa njia ya Mtandao (Video Conference). “Kiswahili kitakuwa moja ya lugha ya mawasiliano katika umoja huu, awali kulikuwa na Kifaransa na Kiingereza na Kireno,” alisema. Biteko amesema kuwa hadi sasa Jumuiya iliyoanza mwaka 2006, zilikuwa lugha tatu za Kifaransa, Kiingereza na Kireno. Pia mkutano huo wali...

MHE GEKUL AOMBA USHIRIKIANO BAINA YA VIONGOZI WAKUU WA WIZARA,WATENDAJI NA WATUMISHI

Image
  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Innocent Bashungwa (katikati mwenye tai nyekundu) akiwa  na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt Hassan Abbasi (mwenye tai ya bluu) wakimkaribisha Naibu Waziri, Mhe. Pauline Gekul alipowasili rasmi kwenye Ofisi yake mpya iliyopo eneo la Mji wa Serikali –Mtumba jijini Dodoma leo, baada ya kuapishwa na Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Aprili 01,2021 Ikulu ya Chamwino  kushika wadhifa huo. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul akipokea maua kutoka  kwa wafanyakazi wa Wizara hiyo  kama ishara ya kumkaribisha rasmi kwenye Ofisi yake mpya iliyopo  eneo la Mji wa Serikali –Mtumba jijini Dodoma leo, baada ya kuapishwa  na Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Aprili 01,2021 Ikulu ya Chamwino  kushika wadhifa huo a.      Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul akisaini kitabu  cha wageni  mara baada ya kuingia kwenye Ofisi yake mpya iliyopo...